Posted on: June 9th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mheshimiwa Joshua Nassari amezindua rasmi msimu wa Ununuzi wa Pamba 2022 Kiwilaya katika Mtaa wa Bukore Kata ya Kunzugu.
DC Nassari ametoa rai kwa wasimamizi wa AMC...
Posted on: May 5th, 2022
Leo tarehe 05.05.2022 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Ndg. Emmanuel J. Mkongo akiambatana na Afisa Elimu Msingi na Sekondari amekabidhi Kompyuta Tano kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Bunda Mwl...
Posted on: February 2nd, 2022
LEO tarehe 02/02/2022, Baraza la Halmashauri ya Mji wa Bunda limepitisha jumla ya shilingi Bilioni 25 kwa ajili ya matumizi ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha ujao 2022/23. Bajeti hiyo imejadiliwa na k...