Posted on: October 4th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mheshimiwa Dkt. Vicent Anney amewaondoa hofu wananchi wa mtaa wa Kiwasi dhidi ya vitisho walivyopokewa toka kwa majirani zao Nyakiswa kuhusu mpaka na mashamba yaliyopo kati...
Posted on: October 4th, 2023
Leo Jumatano 04.10.2023 Benki ya NMB imeikabidhi Halmashauri ya Mji wa Bunda Madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 12.
Akitoa neno la shukrani Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mheshimiwa Dkt. V...
Posted on: October 3rd, 2023
Leo tarehe 03.10.2023 Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa maana ya Wakuu wa Idara na vitengo na mtumishi mmoja mmoja toka katika maeneo hayo wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya mfumo mpya wa ma...