Posted on: October 10th, 2023
Akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Kiwasi katika shule ya Msingi Kiwasi, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Anney amesema suala la Chakula shuleni ni maelekezo ya Serikali kwamba wanafunzi wote s...
Posted on: October 10th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dokta Vicent N. Anney amewataka wananchi wa Mtaa wa Kiwasi kutobweteka kusubiri Serikali ikarabati shule ya Msingi Kiwasi iliyojengwa tangu mwaka 1975.
Shule hiyo yenye maje...
Posted on: October 10th, 2023
Haya yamejiri leo tarehe 10.10.2023 alipokuwa akifanya kikao na wananchi wa mtaa wa Kiwasi ambapo amesema kuna tabia ya kukata miti milimani na kuchoma mkaa.
Dokta Naano amesema tabia hiyo ikomeshw...