Posted on: May 9th, 2020
OFISI ya Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Bunda, imekabidhi kilogramu Elfu moja (1000) za unga wa mahindi kwa kaya zilizokumbwa na maafa ya mafuriko kata ya Nyatwali. Akikabidhi mifuko hiyo ya Unga Mw...
Posted on: April 24th, 2020
KATIBU Mkuu Tamisemi Eng. Joseph Nyamhanga, amesema Serikali iko mbioni kutafuta fedha zaidi ya Shilingi Milioni 700 za Kitanzania kwaajili ya ukarabati wa Kituo cha Afya cha Manyamanyama ili kipe...
Posted on: March 1st, 2020
Halmashauri ya Mji wa Bunda imepokea mifuko 400 ya saruji kutoka kampuni ya Mwanza huduma, kukamilisha maboma ya sekondari ili kuongeza miundombinu na kutengenza mazingira wezeshi ya kujifunzia.
Mg...