Posted on: April 2nd, 2024
Halmashauri ya Mji wa Bunda tunakupongeza kwa kuendelea kuaminiwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Tunakushukuru kwa Utumishi w...
Posted on: March 30th, 2024
Ni jioni tulivu katika anga za Wilaya ya Bunda ndani ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent Anney akiwakusanya wananchi wa Imani tofauti katika Ukumbi wa Heri...
Posted on: March 25th, 2024
Halmashauri ya Mji wa Bunda Leo imefanya zoezi la kugawa fedha kwa Walengwa wa Kaya Masikini (TASAF) ikiwa ni Dirisha la mwezi Novemba na Disemba.
Aidha Walengwa wamehamasishwa kutumia njia ya ...