Posted on: May 5th, 2023
Zaidi ya shilingi milioni 58 za mfuko wa jimbo la Bunda mjini kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 zimetumika kutengeneza madawati 1049 ya shule za Msingi ili kukabiliana na upungufu wa madawati uliopo sasa.
...
Posted on: May 3rd, 2023
Leo Jumanne Kamati inayoratibu masuala ya lishe katika Halmashauri ya Mji wa Bunda imekutana chini ya Mwenyekiti wa Kamati Ndg. Emmanuel Mkongo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji kujadili mwenendo n...
Posted on: May 3rd, 2023
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent N. Anney amezindua bodi ya Afya ya Halmashauri ya Mji wa Bunda leo Jumatano katika ukumbi wa Ofisi yake.
Dkt. Vicent amesema anaimani na bod...