Posted on: June 28th, 2018
Mshindi jumla kwa Mwaka 2017/2018 katika Mkoa wa Mara ni Bunda Tc katika picha ni vijana wa Sekondari kutoka Bunda Mji na makombe mbalimbali yaliyopatikana...
Posted on: June 7th, 2018
Halmashauri ya Mji katika Kituo cha Afya Manyamanyama ilipokea vifaa kutoka kwa Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli. Vifaa viliwasilishwa na Mbunge viti wa Mkoa wa Mara Maalumu Agnes Mathew Marwa...
Posted on: June 28th, 2018
Halmashauri ya Mji wa Bunda imepokea msaada wa mifuko 300 ya saruji vyenye thamani ya Sh 6,000,000/= toka kwa kampuni ya kizalendo ya MWANZA HUDUMA; kwajili ya kuchangia ujenzi wa matundu ya vyoo kati...