Posted on: November 8th, 2021
Mhe. Joshua Nassari Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Leo tarehe 08/11/2021 ametembelea miradi wa ujenzi wa madarasa unaondelea katika Halmashauri ya Mji wa Bunda kupitia fedha za Mpango wa Maendeleo ya Ustawi...
Posted on: March 7th, 2021
HALMASHAURI ya Mji wa Bunda imeadhimisha siku ya wanawake duniani katika kituo cha watoto yatima cha ST. FRANCIS WA ASSIZ kilichopo kata ya Kunzugu leo tarehe 07/03/2021. Maadhimisho haya yameambatana...
Posted on: January 5th, 2021
Kwa takribani wiki moja na siku kadhaa kuanzia tarehe 28/12/2020 hadi tarehe 05/01/2021, Mheshimiwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Bi. Janeth P. Mayanja amefanya ziara ya kutembelea na kuha...