Posted on: July 4th, 2023
Ziara ya Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Dkt. Vicent Anney imeendelea kuwa yenye mafanikio na matumaini makubwa sana kwa wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda.
Leo ilikua zamu ya kata ya Nyasura ambapo...
Posted on: July 1st, 2023
Wakazi wa kata ya Wariku wamejawa na furaha baada ya kutembelewa na Mkuu Wilaya Dokta Vicent Anney kuongea nae na kutatua kero zao.
Dokta Naano amewaeleza wananchi wa kata ya Wariku mambo makub...
Posted on: May 8th, 2023
Kama ilivyo kawaida ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent Anney kukutana na makundi mbalimbali ndani ya wilaya kusikiliza na kutatua kero zao, leo ilikua zamu ya wafanyabiashara.
Mkuu wa Wilay...