Posted on: March 25th, 2024
Halmashauri ya Mji wa Bunda Leo imefanya zoezi la kugawa fedha kwa Walengwa wa Kaya Masikini (TASAF) ikiwa ni Dirisha la mwezi Novemba na Disemba.
Aidha Walengwa wamehamasishwa kutumia njia ya ...
Posted on: March 28th, 2024
Akiwasilisha Bajeti ya Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini Mhandisi Ahimidiwe Kiluswa mbele ya Baraza la Halmashauri ya Mji wa Bunda amesema TARURA imetenga kiasi Cha shilingi Bilioni 2.098 kwaajili ...
Posted on: March 25th, 2024
Timu ya Watalamu kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na Watalamu kutoka Mradi wa TACTIC imefika katika Halmashauri ya Mji wa Bunda leo kufanya Tathimini na Mapitio ya Miradi pendekezwa itakayojen...