Posted on: August 23rd, 2023
Jumatano 23.08.2023
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bunda chini ya Mwenyekiti Mayaya Abraham Magese imefanya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ...
Posted on: August 21st, 2023
Jumatatu 21.08.2023
Siku ya leo Wanufaika wa Mfuko wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania (TASAF) katika Halmashauri ya Mji wa Bunda wamepewa elimu ya jinsia katika uzalishaji mali. Jinsia ni mahusiano...
Posted on: August 14th, 2023
Jumatatu 14.08.2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Bwana Emmanuel Mkongo amesema hatomfumbia macho wala kumuonea huruma Mtendaji yeyote wa Kata atakae kwenda kinyume na Sheria, Kanuni na...