Posted on: August 21st, 2023
Jumatatu 21.08.2023
Siku ya leo Wanufaika wa Mfuko wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania (TASAF) katika Halmashauri ya Mji wa Bunda wamepewa elimu ya jinsia katika uzalishaji mali. Jinsia ni mahusiano...
Posted on: August 14th, 2023
Jumatatu 14.08.2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Bwana Emmanuel Mkongo amesema hatomfumbia macho wala kumuonea huruma Mtendaji yeyote wa Kata atakae kwenda kinyume na Sheria, Kanuni na...
Posted on: August 14th, 2023
Jumatatu, 14.08.2023
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent Anney akiongozana na Balozi wa Pamba nchini Bwana Aggrey Mwanri, Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Bunda pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya...