Posted on: August 3rd, 2024
UTANGULIZI
Halmashauri ya Mji wa Bunda ni Miongoni mwa Halmashauri 9 za Mkoa wa Mara. Katika Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024, Halmashauri ya Mji wa Bunda imekimbiza Mwenge leo Jumamos tarehe 03....
Posted on: July 4th, 2024
Leo Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amefanya Mkutano wa hadhara na wananchi wa Mtaa wa Kinyambwiga stooni ambapo kuna machimbo ya dhahabu.
Kanali Evans Mtambi amewaelekeza Wachi...
Posted on: June 5th, 2024
Watendaji wa Kata wa Halmashauri ya Mji wa Bunda pamoja na Wilaya ya Bunda wameelekezwa kusimamia suala la utoaji chakula shuleni kwa kuhimiza na kuhamasisha Jamii kuchangia chakula.
Maelekezo ...